Meneja
wa Kampuni ya Kioo Ltd Bw. Kishir, akipokea oda ya vinywaji vikali vya
Johnnie Walker kutoka kwa balozi wa vinywaji vikali wa Kampuni ya bia ya
Serengeti Breweries Ltd baada ya kufanya oda hiyo na kufungiwa kwenye
mfumo mzuri wa zawadi. Hafla hiyo ilifanyika katika ofisi za Kioo Ltd
zilizopoChang’ombe. Kampeni hii ya kutoa zawadi za mwisho wa mwaka
zinaendeshwa kwa msemo usemao ‘Say it Without Saying it’. Maana yake toa
zawadi kwa uwapendao badala ya kusema kwa maneno. Hivyo zawadi ya
Johnnie Walker ndio muafaka kwa kipindi hiki.
Zawadi ya John Walker ambayo imepokelewa na Mkurugenzi wa Kioo Ltd Bw Kishir baada ya kufanya oda yake
Baadhi
ya Mabalozi wa Vinywaji Vikali vya John Walker Kutoka Kampuni ya Bia ya
Serengeti wakiwa katika Picha ya Pamoja mara baada ya kukabidhi oda
hiyo katika ofisi za Kioo Ltd zilizopo Chang'ombe
Balozi
wa Vinywaji vikali kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti Brewries Ltd
akishusha moja ya Oda iliyofanywa na Mkurugenzi wa Kioo Ltd Bw Kishir
wakati walipofikisha Oda hiyo ikiwa ni katika kampeni ya kutoa Zawadi
inayokwenda kwa Jina la "Say it without Saying it"
No comments:
Post a Comment