Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kwenye hafla
ya CTI usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Serena Inn jijini Dar es
salaam ambapo wanachama wa taasisi hiyo waliofanya vyema walizawadiwa
vikombe
Meza
ya Serengeti Breweries katika hafla ya CTI usiku wa kuamkia leo katika
hoteli ya Serena Inn jijini Dar es salaam ambapo wanachama wa taasisi
hiyo waliofanya vyema walizawadiwa vikombe na Rais Jakaya Mrisho Kikwete
Meza ya TBL katika hafla ya CTI usiku wa kuamkia leo katika hoteli ya Serena Inn jijini Dar es salaam
Wadau katika hafla hiyo
Bosi wa Tanzania Distilleries David Mgwassa na mai waifu wake
Tanzania Distilleries
Wageni
Wadau katika hafla.Picha zaidi Bofya Hapa
No comments:
Post a Comment