Naibu Waziri, Habari, Vijana , Utamaduni
na Michezo, Amos Makalla akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya Uzamili ya
biashara (MBA) wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar
es Salaam yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Diamond Jumblee.
Naibu
Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Amos Makalla akiwa
na familia yake muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya biashara
(MBA) wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya Dar es
Salaam yaliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jublee
Naibu
Waziri wa Habari VijanaUtamaduni na Michezo Amos Makala akipongezwa na Mbunge
wa Mkanyageni (CUF) Habib Mnyaa muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya
uzamili ya biashara wakati wa Mhafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi ya
Dar es Salaam
Naibu
Waziri, Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Amos Makalla akiwa na baadhi ya
wahitimu wenkaze
Naibu Waziri, Habari, Vijana ,
Utamaduni na Michezo, Amos Makalla akiwa na wahitimu wenzake wa Shahada ya
Uzamili ya biashara (MBA) wakati wa Mahafali ya 11 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe
Kampasi ya Dar es Salaam yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Diamond Jumblee
No comments:
Post a Comment