December 14, 2012

TBL YAKIPIGA JEKI KIKUNDI CHA MAMA WA KIMASAI

 Mkurugenzi wa Uhisiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kulia) akimkabidhi mfanyakazi wa duka la Kikundi cha akina Mama wa Kimasai cha (Maasai Women Fair Trade Group) cha Simanjiro, mkoani Arusha, Debora Mwingira mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 3.5 za kusaidia kulipia pango katika duka linalouza bidhaa zao Mtaa wa Kaunda Drive, Oyterbay, Dar es Salaam hivi karibuni.
Duka la Maasai Trade Fair (kushoto) lililopo Barabara ya Kaunda Drive, Oysterbay,Dar es Salaam ambalo linauza bidhaa za asili zinazotengenezwa na kikundi cha akina mama wa kimasai wa Simanjiro.

No comments:

Post a Comment