Bia ya
Ndovu Special Malt inayotengenezwa na Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL),mwishoni mwa wiki iliyopita ilifanya party babkubwa ya kuuaga
mwaka wa 2012 na kuukaribisha mwaka 2013 ikiwa ni maalum kwa wadau
wake,iliyofanyika kwenye Bwalo la Polisi (police officers mess),Masaki
jijini Dar es Salaam.ambapo wadau mbalimbali waliweza kuhudhulia hafla
hiyo,kama inavyooneka katika picha kedekede hapo chini.
Picha za idi Bofya MTAA KWA MTAA BLOG
No comments:
Post a Comment