December 08, 2012

MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA SADC JIJINI DAR LEO

 Rais Jakaya mrisho kikwete, Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini na  Rais Hifikepunye Pohamba wa Namibia pamoja na   Katibu Mkuu  wa SADC Dr.Tomaz Salomao. na Mawaziri wa nchi hizo wakipitia rasimu ya muhtasari wa kikao kabla ya kuanza kwa kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo.
 Rais Jakaya mrisho kikwete, akikaribisha viongozi wenzie wa nchi za SADC katika  kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya mrisho kikwete, katika picha ya pamoja na  viongozi wenzie wa nchi za SADC katika  kikao cha dharura cha Jumuiya hiyo katika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment