Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es Salaam .
Promota ya mpambano wa masumbwi Mohamed Bawazir katikati akiwa na baazi ya mabondia |
Baazi ya mashabiki wakishangilia wakati wa upimaji uzito wa mabondia watakaopambana katika ukumbi wa PTA sabasaba siku ya 9 desemba |
Bondia Fransic Miyayusho akipima uzito kwa ajili ya kumkabiri Nassibu Ramadhani kushoto mpambano wao wa ubingwa wa WBF utakaofanyika kesho 9 desemba katika ukumbi wa PTA Sabasaba |
Bondia Nassibu Ramadhani kushoto akitunishina Msuri na bondia Fransic Miyeyusho wakati wa uipimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao wa 9 Desemba |
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya kumkabili mpinzani wake Said Mundi kushoto mpambano utakaofanyika Desemba 9. |
Bondia Said Mundi wa Tanga kushoto akitunishiana
misuri na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' baada ya kupima uzito kwa
ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili Desemba 9 katika
ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam picha na www.superdboxingcoach. |
No comments:
Post a Comment