December 17, 2012

MEYA WA DAR MASSABURI AFURAHISHW​A NA DAR METRO GAZETI JIPYA LA MATANGAZO

 Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akikabidhiwa gazeti jipya la Dar Metro na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi (kushoto) akisoma gazeti jipya la Dar Metro alilopelekewa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited inayochapisha gazeti hilo, Juma Pinto (kulia), ofisini kwake Karimjee, Dar es Salaam leo. Gazeti hilo maalumu kwa matangazo linalotolewa mara mbili kwa mwezi, hugawiwa bure kwa wasomaji.Kampuni hiyo huchapisha pia magazeti ya Jambo Leo, jarida la Jambo Brand Tanzania na Staa Spoti. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Massaburi akilipitia vizuri gazeti hilo litakalokuwa linaandikwa kwa lugha za Kiswahili na Kiingereza.
Pinto akizungumza na Massaburi

No comments:

Post a Comment