Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimpa zawadi Bw. Miraji Ahmed Saleh
kwa kuibua mfanyakazi bora na pia mfanyakazi hodari wa Ofisi ya Rais
Ikulu. Bw Saleh ni Msaidizi wa Ofisi Mwandamizi katika Idara ya Huduma za Ikulu na Zahanati katika hafla ya kuwazawadia iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akipozi na kikosi kizima cha michezo
mbalimbali cha Ikulu Sports Club ambacho kilinyakua jumla ya makombe
matano katika michezo mbalimbali ya
Shirikisho la Michezo ya Wizara (SHIMIWI) mwaka huu mjini Morogoro.
Kulia kwake ni Naibu Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi na kushoto
kwake ni Mkurugenzi wa Huduma za Ikulu Bw Julius Mogore katika hafla ya
kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo
Deswemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. Kwenye michezo hiyo
iliyofanyika kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba 10 mwakq huu, ilishirikisha
jumla ya wanamichezo 3500 kutoka wizara 56, mikoa 18 na idara za
serikali 14 ambapo wanamichezo 91 wa Ikulu walioshiriki walifanikiwa
kuibuka washindi wa kwanza katika michezo ya Baiskeli, Netbal, Kuvuta
kamba wanawake na wanaume na kushik nafasi ya pili ya riadha kwa
wanawake na wanaume.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akinyanyua juu mojawapo ya makombe
matano ambayo Ikulu Sports Club ilinyakua kwenye michezo ya SHIMIWI ya maka
huu mjini Dodoma katika hafla ya kukabidhi makombe na kuwazawadia
wafanyakazi bora iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es
salaam. Kwenye michezo hiyo iliyofanyika kuanzia Septemba 22 hadi Oktoba
10 mwakq huu, ilishirikisha jumla ya wanamichezo 3500 kutoka wizara
56, mikoa 18 na idara za serikali 14 ambapo wanamichezo 91 wa Ikulu
walioshiriki walifanikiwa kuibuka washindi wa kwanza katika michezo ya
Baiskeli, Netbal, Kuvuta kamba wanawake na wanaume na kushik nafasi ya
pili ya riadha kwa wanawake na wanaume.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa nane toka kulia ) pamoja na Naibu
Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi (kulia kwake) na Mkurugenzi wa
Huduma za Ikulu Bw Julius Mogore (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya
pamoja na wafanyakazi bora wa Ofisi ya Rais, Ikulu katika hafla ya
kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo
Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa na Mwadawa Twalibu, Sophie
Komba na Pascalia Kibayasa wachezaji wa netball wa Ikulu Sports Club
ambao pia ni wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Queens) ya mchezo huo
kwenye hafla ya kuwazawadia iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu
jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (wa nane toka kulia ) pamoja na Naibu
Katibu Mkuu Ikulu Mama Suzana Mlawi (kulia kwake) na Mkurugenzi wa
Huduma za Ikulu Bw Julius Mogore (kushoto kwake) wakiwa katika picha ya
pamoja na wafanyakazi bora wa Ofisi ya Rais, Ikulu katika hafla ya
kukabidhi makombe na kuwazawadia wafanyakazi bora iliyofanyika leo
Desemba 17, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiwa na Mwadawa Twalibu, Sophie
Komba na Pascalia Kibayasa wachezaji wa netball wa Ikulu Sports Club
ambao pia ni wachezaji wa timu ya Taifa (Taifa Queens) ya mchezo huo
kwenye hafla ya kuwazawadia iliyofanyika leo Desemba 17, 2012 Ikulu
jijini Dar es salaam.
|
No comments:
Post a Comment