Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza, mara baada
ya uzinduzi wa jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya
nchi, (DHL) lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam
leo Desemba, 07, 2012. Kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa DHL, Blaise D'sauza, wakati
alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo
ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja
wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es
Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said
Meck Sadiki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi wa Uingizaji wa Mizigo, Buzegi
Kulwa (kulia) wakati alipokuwa akitembelea katika jengo jipya la Kampuni ya
usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua rasmi
jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo
Desemba, 07, 2012. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Msimamizi wa huduma kwa Wateja upande wa
uingizaji wa mizigo, Ebtisam Bobsaith (kushoto), wakati alipokuwa akitembelea
katika jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi,
(DHL) baada ya kuzindua rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius
Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu
wa DHL, Blaise D'sauza (wa pili kushoto) ni Meneja Usimamizi wa Uingizaji wa
Mizigo, Buzegi Kulwa na (wa tatu kulia) ni
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo wakati akiendelea kutembelea katika jengo hilo jipya la
Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani na nje ya nchi, (DHL) baada ya kuzindua
rasmi jengo hilo lililopo Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, jijini Dar es
Salaam leo Desemba, 07, 2012. Kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake ya uzinduzi jengo jipya la Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani
na nje ya nchi, DHL wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa jengo hilo,
iliyofanyika leo Desemba 07, 2012 katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Julius
Nyerere, jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment