December 07, 2012

MAWASILISHO YA NCHI MBALIMBALI KATIKA SIKU YA MWISHO YA MKUTANO COP 18 DOHA, MAJADILIANO MENGINE YANAENDELEA

 Amina Shaaban katibu mtendani wa tume ya mipango Zanzibar na Mh. Bernadeta Mushashu (kulia) mbunge wa bunge la Afrika, ambae pia ni mbunge viti maalum ccm Kagera na ni mjumbe wa kamati ya maliasili na mazingira wakifuatilia kwa makini mawasilisho.
Rais wa COP18 na wenyeviti wa kamati mbalimbali katika mkutano wa mawasilisho ya nchi mbalimbali katika siku ya mwisho ya mkutano wa nchi wanachama duniani wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi mjini Doha na majadiliano mengine yakiendelea katika kumbi tofauti.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanziar dkt Shajak Omary (katikati kulia) na Naibu katibu Mkuu wizara ya kilimo Zanziabar dkt Assad (kushoto) wakifuatilia mawasilisho.
Baadhi ya washiia mkutano huop mjini Doha.

No comments:

Post a Comment