Mlinda mlango wa timu ya Kilimanjaro Stars
inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanajro Premium Lager, Juma Kaseja (kushoto)
akiokoa moja ya hatari mbele ya mshambuliaji wa timu ya Zanzibar Heroes,
Khamisi Mcha Khamis wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Cecafa Tusker Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela Kampala leo.
Mshambuliaji wa timu
ya Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, John
Boko akiwatoka mabeki wa timu ya Zanzibar Heroes wakati wa mchezo wa kutafuta
mshindi wa tatu katika michuano ya Cecafa Tusker Challenge uliochezwa katika Uwanja wa
Nelson Mandela nchini Uganda
Beki wa timu ya
Zanzibar Heroes, Haroub Nadir akimzuia mshambuliaji wa trimu ya Zanzibar
Heroes, John Boko wakati wa mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu uliochezwa
katika Uwanja wa Nelson Mandela nchini Uganda.
Mchezaji wa timu ya
Kilimanjaro Stars inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager,Athuman
Chuji akimtoka beki wa timu ya Zanzibar Heroes, Sbari Alliy Makame wakati wa
mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu katika michuano ya Cecafa Tusker Challenge
uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela nchini Uganda
No comments:
Post a Comment