Mchezaji wa timu ya Uganda, Robert Sentongo akikokota mpira wakati wa mchezo wa Fainali ya michuano ya Cecafa Challenge 2012 dhidi ya Kenya uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela Jijini Kampala. Uganda wameibuuka mabingwa wauana ya CECAFA TUSKER CHALLENGE CUP kwa kuwafunga Kenya 2-1 katika mchezo wa Fainali. Zanzibar Heroes imeshikafasi ya tatu bfunga Kilimanja 6-5.
No comments:
Post a Comment