Mwenyekiti
wa Kikundi cha akina dada cha Precious Group 2012 Agnes Shayo hiza
akimkabidhi zawadi ya saa ya ukutani Magreth Chacha ambaye ni
Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB)aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla
ya uzinduzi wa kikundi hicho na chakula cha jioni iliyofanyika usiku huu
kwenye ukumbi wa Isumba Lounge zamani Jolly Club jijini Dar es salaam,
ambapo wageni mbalimbani na wanakikundi wa Precious walijumuika pamoja
katika uzinduzi huo.
Mwenyekiti
wa Kikundi cha akina dada cha Precious Group 2012 Agnes Shayo Hiza
akimkabidhi tuzo maalum mgeni rasmi Magreth Chacha ambaye ni
Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB) katika hafla ya uzinduzi wa
kikundi hicho uliofanyika kwenye ukumbi wa Isumba Lounge jijini Dar es
salaam, kulia ni Jane Mchau mwanakikundi ambaye alikuwa ni MC katika
hafla hiyo.
Magreth
Chacha ambaye ni Mkurugenzi wa benki ya wanawake (TWB) akizindua rasmi
kikundi cha Precious Groupkwenye ukumbi wa Isumba Lounge jijini Dar es
salaam. PICHA ZAIDI BOFYA JIACHIE BLOG
No comments:
Post a Comment