Rais
wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,akimtunuku Nishani
ya Sanaa na Michezo Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) kupitia Basaza katika
sherehe za kutunuku nishani mbali mbali
katika viwanja vya Ikulu Dar des Salaam,katika kusherehekea maadhimisho ya
miaka 51 ya Uhuru wa Tanganyika.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa
nishani ya Sanaa na Michezo na Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete,(kulia) katika sherehe za kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Bi Fatma Baraka Khamis,(Kidude) baada ya kutunukiwa
nishani ya Sanaa na Michezo na Rais wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho
Kikwete,(kulia) katika sherehe za kutunuku Nishani katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam,(katikati)Rais Mstaafu wa Tanzania Mzee Mwinyi.
No comments:
Post a Comment