kikosi cha Elias FC
kikosi cha robert FC
wachezaji wa timu ya Elias Fc wakipasha kabla ya mechi kuanza.
wachezaji
wa timu ya Robert FC iliyovaa jezi za blue wakiwa
wasalimiana na wachezaji wa timu ya Elias Fc zote zikiwa ni timu za
wakurugenzi wa Kituo cha Radio 5 cha Jijini Arusha kabla ya kuanza mechi
ya fainali ya
bonanza la Uhuru day lililokuwa limeandaliwa na kituo hicho katika
Uwanja cha General tyre jijini humo.Hadi mwisho wa mchezo matikeo
yalikuwa ni Elias FC 2-0 Robert Fc.
Mmoja
wa wachezaji wa timu ya Robert Fc akiwa anachuliwa mguu mara baada ya
kuumia wakati akicheza kinachofurahisha zaidi mchezaji huyu aliumia mara
tu alipoingia kucheza mpira dakika tano hazikuisha ila mwishowe alirudi
kusakata kabumbu
kilichofurahisha zaidi hadi watangazaji wa kike walijitokeza kusakata kabumbu.
Mara
baada ya mchezo kumalizika wachezaji watimu ya elias FC waliamua
kuunganika pamoja na wapinzani wao Robert FC na kupiga picha ya pamoja
wakiwa na kombe pamoja na wakurugenziwa wao
wachezaji wa timu ya Elias Fc wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kushinda
No comments:
Post a Comment