Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili.
Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty,Phina Revocatus,Amina Ayoub,Vivian Gilbert,Mwanaidi Mokitu,Elizabeth Boniface,Magreth Msafiri,Berther Beson,Jennifer Njabili.
No comments:
Post a Comment