Hayati Aidan Libenanga
WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MOROGORO NA
TASNIA NZIMA YA HABARI NCHINI WAMEPATWA NA MSIBA MKUBWA KUFUATIA KIFO
CHA GWIJI WA HABARI NCHINI, MPIGANAJI AIDAN LIBENANGA, ALIYEFARIKI
GHAFLA SAA 12 : 15 ASUBUHI YA NOVEMBA 18, MWAKA HUU.
KWA MUJIBU WA NDUGU NA WATOTO WA MAREHEMU, MAZISHI YANATARAJIWA KUFANYIKA NOVEMBA 20, MWAKA HUU( JUMANNE ) MJINI MOROGORO.
MIPANGO YA MAZISHI INAFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MTAA WA SABASABA, MJINI MOROGORO.
MAREHEMU ALIKUWA MMOJA WA WAANDISHI WA HABARI WAKONGWE ALIYEWAHI KULITUMIKIA SHIRIKA LA HABARI TANZANIA ( SHIHATA) ENZI HIZO .
Akina mama wakimfariji mtoto wakike wa Marehemu Aidan Libenanga
Baadhi
ya waandishi wa habari wakiwa nyumbani kwa marehemu Aidan Libenanga ,
eneo la Sabasaba, Mjini Morogoro, akiwasiliana na jamaa zao na
kumsikiliza mwanae Rama.
Mtoto wa kwanza wa kiume wa Hassan Libenanga ( kulia) akifarijiwa na kijana mkazi wa Sabasaba
Ramadhan
Libenanga (kushoto) mtoto wa marehemu akizungumza na Meya wa Manispaa
ya Morogoro, Mstahiki Amiri Nondo, nyumbani kwa marehemu
No comments:
Post a Comment