November 21, 2012

WABONGO KWELI HAMNAZO; JAMAA KAPATA NG'OMBE KWENYE PIKIPIKI

Hakika uakishangaa ya Musa utaona ya firauni, na kutembea kwingi ni kuona mengi...aMAKWELI WABONGO HAMNAZO!!! Ona watu hawa walivyo wajasiri na uthubutu wakufanya vile vitu ambavyo wengi huhofia kuvifanya, lakini hii ni hatari sana maana kubeba Ng'ombe katika pikipiki tena kwa kumpakata si kazi rasihi na endapo mnyama huyo ataleta vurugu na kuanza kuyumbisha pikipiki hiyo anaweza wafikisha katika ajali ya kugongana na gari. Tusijaribu hili

No comments:

Post a Comment