Viongozi
wa Juu wa chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa wakiongozwa na Katibu Mkuu,
Abdulrahaman Kinana, Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Mnauye na Katibu wa
Oganizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatib wamewasilili mkoani Mtwara leo kwa ziara
maalum ya kuimarisha chama hicho. Pichani kulia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa
Mtwara, Mohamed Sinani akiwapokea
viongozi hao katika Uwanja wa ndege wa Mtwara.
Maandamano
ya pikipiki ya wanachama na wafuasi wa CCM Mkoani mtwara yakiongoza msafara wa
Viongozi hao kuelekea Ofisi za CCM Mkoa wa Mtwara.
No comments:
Post a Comment