Rais Jakaya Kikwete
akiongea na wafanyakazi wa CCBRT na Vodacom pamoja na mabalozi waliohudhuria
hafla hiyo ya makabidhiano ya mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8
bilioni,aliyokabidhiwa rasmi na Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene
Meza zilizochangwa na
kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya
huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa
Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza akisema machache wakati wa makabidhiano ya mfano
wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni aliyoikabidhi rasmi kwa Rais Jakaya
Mrisho Kikwete fedha hizo zilizochangwa na
kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospital ya
huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete
akifafanua jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza
kushoto na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya CCBRT Bw.Erwin Telemans wakati
wa makabidhiano rasmi ya mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 bilioni fedha hizo
zilizochangwa na
kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya
huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya Hospitali ya CCBRT,jijini Dar es
Salaam.
Rais Jakaya Kikwete
akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania
kwenye hafla hiyo.
Rais Jakaya Kikwete
akimsalimia mtoto Kanani Masoud kutoka Kigoma anatibiwa CCBRT wakati alipofika
kukabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Sh8 aliyokabidhiwa na Mkurugenzi
mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo pichani,zilizochangwa na
kundi la kampuni ya Vodafone na Vodacom
Tanzania kusaidia mradi wa fistula Tanzania ikiwemo ujenzi wa Hospitali ya
huduma ya Afya ya uzazi ya Baobab chini ya CCBRT Hospital,jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment