November 21, 2012

TAARIFA YA MSIBA LONDON, UK NA DAR ES SALAAM (TABATA) - TANZANIA

Marehemu Fred Mtoi

kufuatia kifo cha ndugu na rafiki yetu mpendwa FRED ALEX MTOI, kilichotekea ghafla siku ya Ijumaa usiku, tar 16/11/12 katika Hospitali ya North Middlesex –London, mipango ya kuusafirisha mwili wa marehemu kwenda nyumbani Dar Es Salaam kwa ajili ya mazishi inafanyika.
Tunawaomba ndugu na jamaa wote kujitolea kwa kusaidia michango yenu ya khali na mali ili tuweze kufanikisha kukamilisha suala hilo.

Tunaomba michango yote iwekwe kwenye:
Account Number: 10299068
Sort Code:30-93-29
Lloyds TSB Bank
Mr.Israel Saria

Mratibu wa mchakato wa kuusafirisha mwili wa marehemu.

TARATIBU ZOTE ZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU
ZITATOLEWA MARA TU ZITAKAPO ANDALIWA.
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA SARIA 07791284317 AU WILLIAM 07404531448.

TUNAPENDA KUWASHUKURUNI NYOTE PAMOJA NA OFISI ZA UBALOZI WETU – UK
NA BBC – LONDON KWA USHIRIKIANO WAO MKUBWA MNAOUNDELEZA.

KWA NIABA YA FAMILIA YA MAREHEMU (TZ) NA JUMUIYA YA WATANZANIA – UK
NA NORTHAMPTON.

No comments:

Post a Comment