Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki wakiangalia mfano wa jengo jipya la makao makuu ya
Jumuiya hiyo pamoja na maelezo yake baada ya kulifungua rasmi Novemba
28, 2012 jijini Arusha.
Mfano wa jengo la Makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na wadau pamoja na
wabunge wa Afrika Mashariki.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki wakiwa katika chemba ya mikutano ya Bunge la Jumuiya
ya Afrika mashariki katika jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya baada
ya kulifungua rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha.

Afrika Mashariki wakifunua pazia kufungua rasmi jengo jipya la makao
makuu ya Jumuiya Novemba 28, 2012 jijini Arusha
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki wakitembelea sehemu mbali mbali za jengo jipya la
makao makuu ya Jumuiya baada ya kulifungua rasmi Novemba 28, 2012
jijini Arusha.

jijini Arusha. Hapa ni katika chumba cha mahakama ya jumuiya hiyo
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki wakishuhudia Mwenyekiti wa Jumuiya Rais Mwai Kibaki
wa Kenya akizindua rasmi mfumo wa kisasa wa kuunganisha shughuli za
ushuru wa forodha kwa njia ya mtandao katika jengo jipya la makao makuu
ya Jumuiya baada ya kulifungua rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki wakishuhudia Mwenyekiti wa Jumuiya Rais Mwai Kibaki
wa Kenya akizindua rasmi mfumo wa kisasa wa kuunganisha shughuli za
ushuru wa forodha kwa njia ya mtandao katika jengo jipya la makao makuu
ya Jumuiya baada ya kulifungua rasmi Novemba 28, 2012 jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment