Akina mama wakazi wa Muheza na Jijini Dar es Salaam waliohudhuria mazishi ya Sharo Milionea aliyefariki kwa ajali ya gari Jumatatu usiku na kuzikwa jana Muheza wakilia kwa uchungu wakati wa taratibu za mazishi nyumbani kwao na marehemu Muheza mkoani Tanga.
Wasanii wa filamu na wanamuziki walihudhuria mazishi hayo na kubwa lilikuwa ni simanzai kwa kifo cha ghafla cha msanii huyo. kushoto ni King Majuto rafiki mkubwa wa Marehemu Sharo Milionea akiteta jambo na Anna Peter wa EA TV na mbele ni Waziri ali kutoka kundi la wana Njenje na nyuma ni Mzee Chilo.
Wasanii wa kizazi kipya Tunda Man, Timbulo na Sheta nao walihudhuria mazishi hayo ya Sharo Milionea.
Picha hii wanaonekana Tino kutoka TNG Squard, Mwana FA, Roma Mkatoliki, na Zee la Nyeti, Henry Mdimu katika mazishi hayo na alijawa na huzuini kubwa.
Hakika kila aliyetafakari kifo kilivyo mpata Sharo Milionea hakusita kuhuzunika.Jamaa ni rafiki mkubwa na wakaribu na marehemu na kilio kilitawala sana kwake.
H baba akiwa na Suma Manazareth msibani hapo.
Baadhi ya wasanii wakiongozwa na Roma Mkatoliki wakiwa kaburini baada ya mazishi na kumpumzisha salama Saharo Milionea.
No comments:
Post a Comment