Mkurugenzi
Mkuu wa SBL Steve Gannon Kushoto, Maurice Njowoka Meneja wa Tusker SBL
wakiwa na Mkurugenzi wa mauzo SBL Robert Njuguna Kulia pamoja na
wasambazi wakubwa na wadogo wa SBL katika kiwanda cha SBL jijini Dar
wakati bia hii Mpya ilipozinduliwa Mbele ya wafanyakazi na wasambazaji..
Tusker lite ndio Habari ya mjini
Ben
Mariki, Meneja mauzo vinywaji Vikali SBL (Kushoto), Maurice Njowoka
Meneja wa bia ya Tusker SBL (katikakati) na Allan Chonjo Meneja wa bia
ya Serengeti (kulia) wakishow love kwa bia Mpya ya Tusker Lite Ndani ya
kiwanda .
Meneja wa Tusker SBL Maurice Njowoka akitoa ufafanuzi juju ya bia Mpya ya Tusker Lite
No comments:
Post a Comment