Rais
wa Visiwa vya Comoro, Dhoinine Ikililou (kulia) akiagana na Meneja Uangalizi wa
Dar es Salaam Serena Hotel, Patricia Kalugendo na kushoto ni Meneja Mkuu wa
Hoteli hiyo Rahim Azad, wakati Rais huyo akiondoka nchini baada ya mapumziko na
shughuli nyingine za kikazi nchini.
Balozi wa visiwa vya Comoro
nchini Abu Dhabi, Zoubert Soufiane Al Ahdal akiwa na Waziri Abdoul Youssouf nje
ya Hoteli ya Dar es Salaam Serena walipoambatana na Rais wao.
No comments:
Post a Comment