November 28, 2012

SBL YAJA NA Say It without saying It KATIKA MSIMU WA SIKU KUU.

Meneja wa Vinywaji Vikali kutoka SBL, Azda Amani, wakionesha baadhi ya vinywaji vikali vinavyosambazwa nchini na Kampuni hiyo, ambavyo vitakuwa katika promosheni Maalum ya Msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka ambapo wateja watapata huduma ya kufikishiwa vinywaji vyote vikali vya kampuni hiyo pale walipo kwa gharama nafuu zaidi. Kampeni hiyo inaenda na kaulimbiu ya ‘say it without saying it’.
 Meneja Masoko wa Vinywaji Vikali, kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Emillian Rwejuna (kushoto) akiwa na Meneja wa Vinywaji Vikali kutoka SBL, Azda Amani, wakionesha baadhi ya vinywaji vikali vinavyosambazwa nchini na Kampuni hiyo, ambavyo vitakuwa katika promosheni Maalum ya Msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka ambapo wateja watapata huduma ya kufikishiwa vinywaji vyote vikali vya kampuni hiyo pale walipo kwa gharama nafuu zaidi. Kampeni hiyo inaenda na kaulimbiu ya ‘say it without saying it’
Meneja Masoko wa Vinywaji Vikali, kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Emillian Rwejuna (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana kuhusiana na Promosheni wakati wa Msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka, ambapo wateja watapata huduma ya kufikishiwa vinywaji vyote vikali vya kampuni hiyo pale walipo kwa gharama nafuu zaidi. Kulia ni Meneja wa Vinywaji hivyo, Azda Amani na Kushoto ni Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga. Kampeni hiyo inaenda na kaulimbiu ya ‘say it without saying it’.
Meneja Masoko wa Vinywaji Vikali, kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Emillian Rwejuna (katikati) akiwa na Meneja wa Vinywaji Vikali kutoka SBL, Azda Amani (kulia) na Meneja Mawasiliano wa SBL, Imani Lwinga, wakionesha baadhi ya vinywaji vikali vinavyosambazwa nchini na Kampuni hiyo, ambavyo vitakuwa katika promosheni Maalum ya Msimu wa Sikukuu za mwisho wa mwaka ambapo wateja watapata huduma ya kufikishiwa vinywaji vyote vikali vya kampuni hiyo pale walipo kwa gharama nafuu zaidi. Kampeni hiyo inaenda na kaulimbiu ya ‘say it without saying it’.

*******


SERENGETI BREWERIES LTD UNVEIL THE FESTIVE SEASON ‘SAY IT WITHOUT SAYING IT’

Serengeti Breweries Limited, today unveiled the end of year campaign ‘Say it without Saying it” at their offices in Oysterbay Dar Es Salaam. 

The campaign is mainly supported by its inspirational brand Johnnie Walker as it is the norm that every end of the year, and it an opportunity to share amazing brands in a very special way.

Speaking at the press conference, Serengeti Breweries Limited Marketing Manager for spirits brands Mr. Emillian Rwejuna said “Some gifts don’t need a card… say it without saying it...Give the world’s favourite spirits’ that’s our tagline.  I’m sure you’re all familiar Johnnie Walker Black Label, Red Label, Smirnoff, Bailey, Gordon’s and J&B Rare. These are the spirits that we will be selling for gifting purposes at a special price, packaged and delivered at the convenient of the clients”.

As the festive season near to most of people after working for months without a break this is a unique experience and one of its kinds in this country.  You have only one person to give?  That is not a problem at all as there will be gift packs in major liquor stores and supermarkets.   Products such as Johnnie Walker Black and Red in special boxes that come with a branded whisky glass will be there for you to get that one person feeling all special this season.

Speaking at the press conference The brand manager for spirits Azda Amani explained the mechanics on how the order will be taken “This promotions is mainly backed up by our main brand Johnnie Walker and other spirits like Smirnoff, Gordon and Baileys, so our sales  ambassadors will be going round to offices and take the orders and bring back to us, from there we start packing the orders in a good looking gift pack and send to customers wherever they are within Dar Es Salaam, the price for this season is almost less than ever, is good price for all to celebrate the end of year season” she added that “the promotions will be available in supermarkets for Johnnie Walker brands Red and Black Label,From now on, we will have our sales team ready to take in orders.

When the orders are received, the packaging will be done and delivered in consideration with the recipients list provided”.

For people to place orders they can call 0685 417670 or send email to joyofgiving@serengetibrew.com.

Please remember to drink responsibly – strictly 18+
Do not drink and drive

No comments:

Post a Comment