Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi, Sam Elangalloor,
wakifunua kitambaa kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa Shule ya Msingi
Kilomo, iliyopo Wilaya ya Bagamoyo-Mkoa wa Pwani, iliyokarabatiwa na
Kampuni ya Airtel Tanzania. Uzinduzi huo umefanyika leo Nov 27, 2012.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu za
Mkononi, Sam Elangalloor, wakati akionyeshwa madawati yaliyotolewa na
Kampuni hiyo kwa Shule ya Msingi Kilomo, wakati wa hafla ya uzinduzi wa
Shule hiyo baada ya kukamilika kwa ukarabati. leo Nov 27, 2012.
waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi Dk, Shukur Kawambwa akionyesha picha ya shule ilivyokuwa kabla ya matengenezo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu za Mkononi, Sam
Elangalloor, kukagua maeneo ya Shule ya Msingi Kiromo, wakati wa hafla
ya uzinduzi wa shule hiyo, uliofanyika leo Nov 27, 2012, shuleni hapo
baada ya kukamilika kwa ukarabati uliofanywa na kampuni ya Simu za
mkononi ya Airtel Tanzania.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Simu za
Mkononi, Sam Elangalloor, kuhusu matumizi na makusudio ya mafunzo ya
Kompyuta wakati alipotembelea katika chumba cha Kompyuta, baada ya
kuzindua rasmi shule ya Msingi, Kilomo, leo Nov 27, 2012.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Airtel Tanzania, Sam
Elangalloor, wakati alipokuwa akitembelea katika Chumba cha Maktaba cha
Shule ya Msingi Kilomo, baada ya uzinduzi rasmi wa shule hiyo,
uliofanyika leo Nov 27, 2012.
No comments:
Post a Comment