Bi
Fauzia M. Haji, mwenyekiti wa kamati ya wataalam ya mabadiliko ya
tabianchi kutoka Ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, akifuatilia
mjadala wa wa kundi la Africa katika mkutano wa 18 wa duania wa nchi
wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabia nchi unaoendelea mjini Doha
leo,( Picha na Evelyn Mkokoi)
Kushoto
Bw. Richard Muyungi Mwenyekiti wa kamati ya dunia ya sayansi na taaluma
ya mabadiliko ya tabia nchi akijadili masuala muhimu yatakayojadiliwa
katika kilimo na msaidizi wake Bi Hanna Hoffmann ofisini kwake mjini
Doha, kabla ya kuendelea kuendesha mikutano ya kamati hiyo inayoendelea
katika mkutano wa 18 wa dunia wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko
ya tabia nchi leo.
0 comments:
Post a Comment