KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
November 29, 2012
MKUTANO WA 18 WA TABIA NCHI WAENDELEA MJINI DOHA
Mkurugenzi Ofisi ya makamu wa Raisi mazingira bw. Julius
Ningu akifuatilia majadiliano ya moja ya nikutano inayoendelea mjini
Doha katika mkutano wa 18 wa dunia wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko
ya tabia nchi.(Picha na Evelyn Mkokoi)
No comments:
Post a Comment