November 29, 2012

KILIMANJARO STARS ILIPOKIPIGA NA BURUNDI MICHUANO YA TUSKER CHALLENGE CUP UGANDA

Mshambuliaji wa timu ya Kilimanjaro Stars, Simon Msuva akimiliki mpira wakati wa mchezo dhidi ya Burundi kwenye michuano ya Tusker Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Mandela jan

Kiungo mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, Mwinyi Kazimoto akimiliki mpira wakati wa mchezo dhidi ya Burundi kwenye michuano ya Tusker Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Mandela nchini Uganda
Mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars, John Bocco akichuana na Beki wa Burundi, Glberty Kaze wakati wa mchezo dhidi ya Burundi kwenye michuano ya Tusker Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Mandela nchini Uganda jana.

No comments:

Post a Comment