KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
November 29, 2012
Musyoka ateta na Naibu Mkurugenzi wa Idhaa ya Kiswahili DW
Makamo wa Rais wa Kenya Kalonzo Musyoka (kushoto) akibadilishana mawazo
na Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili Dw, Mohamed Abdul-Rahman, wawili hao
walipo kutana na kufanya mahojiano maalum, Berlin Ujerumani.
No comments:
Post a Comment