Nafasi Ya Matangazo

November 28, 2012

 Mwili wa SharoMilionea ukiswaliwa
 
 Nape akimpa pole Zaina Mkieli Mama wa Hussein Ramadhani, Sharo Milionea, Kijiji cha Lusanga, Muheza Tanga
Baadhi ya wasanii msibani, Lusanga
DC Muheza, Subra Mgalu akisoma salam za EOTF ya Mama Mkapa
Baadhi ya wasanii msibani, Lusanga

 Nape (Watatu kulia, waliobeba jeneza) akishiriki kubeba jeneza lilipofika Lusanga, nyumbani kwa marehemu
 Nape akitoa pole za Chama kwenye mazishi hayo
 Nape akitupa udogo kaburini wakati wa mazishi ya Sharo Milionea, Lusanga, Tanga
 Waombolezaji wakaimsaidia mwenzao aliyepoteza fahamu msibani

 Mzee Kingi Majuto akitupa mchanga kaburinu kumzika Sharo Milionea
 Nape, Rais wa Bongo Movies Simon Mwakifwamba, Meneja mahusiano wa kamuni ya Airtel,Jackosom Mbando wakisubiri mwili wa marehemu kuwasili nyumbani Lusango, Muheza.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongofleva Hamis Mwinjuma a.k.a Mwana FA akitoa salam kwa niaba ya Wanamuziki wa Bongofleva.
Watu walipanda juu ya mnazi ili kushuhudia tukio hilo la mazishi. 
 
 Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele 
 
 
 Rafiki mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono na Msanii wa filamu JB wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza mkoani Tanga.Picha Kwa Hisani ya Jiachie Blog
Posted by MROKI On Wednesday, November 28, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo