November 27, 2012

JE HUJUI KUFUNGA TAI, HAYA SOMO HILI HAPA NA UTAWEZA

Watu walio wengi hasa mijini hupenda sana kuvaa tai na kuonekana Nadhifu. Ofisi kaka Mabenki, Idara ya Kodi ndio wanaongoza hivi sasa kwa uvaaji wa tai na viongozi mbalimbali wa Serikali. Lakini ni Ukweli usio fichika kuwa katika kila kundi la watu 10 unaopishana nao wamevaa tai basi huenda ni wawili au mmoja ndie anajua kufunga tai kisasa na kitaalam. Nasema hivi kutokana na vile ilivyo kuwa wengi hufungiwa tai hizo na pindi ikifungwa haifunguliwi hadi ichakae. 

Kawaida Tai ikifungwa na ukavuta ulimi mdogo haipaswi kuweka fundo, na pindi ikiweka fundo basi ujue hujafunga vyema. Leo Hii Father Kidevu Blog imeona bora itoe somo hilo la ufungaji tai, ili wewe msomaji uweze kujifungua mwenyewe tai yako na si kwa domu au mtaalam mmoja wa hapo ofisini kwenu, naka siku hayupo basi huwi smat.

1 comment:

  1. Thanks, wengi wataacha kuwasumbua wenzao ooooh samahani nifungie bwana nachelewaaa!!!1

    ReplyDelete