Wachezaji wa Kilimanajro Stars
inayoiwakilisha Tanzania Bara wakiwa mazoezini
katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza ikiwa ni maandalizi ya mashindano ya
Kombe la Tusker CECAFA Challenge yanayotarajiwa kuanza Jijini Kampala, Uganda Jumamosi
hii. Timu hii inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.
No comments:
Post a Comment