November 13, 2012

Karume afanya mahojiano na DW mjini Dodoma

Mdau wa Aboubakar Liongo wa DW akifanya mahojiano na Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu, Aman Abeid Karume nje ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma ambako mkutano wa nane wa Chama cha Mapinduzi CCM , unaendelea na jioni hii wajumbe wanataraji kupata matokeo ya uchaguzi wa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu wenyeviti wawili. Karume alikuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar nafasi ambayo inakwenda kwa Rais wa sasa Dk. Ali Mohamed Shein.
Mdau wa Aboubakar Liongo wa DW akifanya mahojiano na Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Mstaafu, Aman Abeid Karume nje ya ukumbi wa Kizota mjini Dodoma ambako mkutano wa nane wa Chama cha Mapinduzi CCM , unaendelea na jioni hii wajumbe wanataraji kupata matokeo ya uchaguzi wa ngazi ya Mwenyekiti na Makamu wenyeviti wawili. Kushoto ni Mkewe Shadya Karum

No comments:

Post a Comment