Afisa bishara mkuu wa (FASTJET) Richard Bodin
akiongea na waandishi wa habari leo katika uzinduzi wa mauzo ya tiketi nchini
Tanzania kwa bei nafuu zaidi kuliko shirika lolote la ndege nchini ambapo
amesema kuanzia tarehe 29 mwezi huu wateja watanufaika na huduma za shirika
hilo kwa viwango vya bei nafuu hadi kufikia dola 20 bila vat ya serikali kwakupitia
shirika hilo ambapo hapo awali lilikuwa linajulikana kama FLY540 ambapo kwa
hapa Dar es salaam imechaguliwa kuwa kituo cha uendeshaji wa shirika hilo
uzinduzi huo ulifanyika kwenye Hotel Serena jijini Dar es salaam
Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano huo
No comments:
Post a Comment