April 10, 2012

UCHANGIAJI WA CHF UTABADILI MFUMO WA UPATIKANAJ​I WA HUDUMA ZA AFYA SHINYANGA -MJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZ​I NHIF

 Watoto wanayofuraha punde wanapomuona mama akimjali kulia ni Bi christina Ilumba mwanasheria wa NHIF akimfunika mtoto Hasma masanja kwa shuka likiwa ni sehemu ya msaada kwenye wodi ya watoto ya hospitali ya kolandoto.
 NHIF inayo dhamira ya dhati katika kusaidia makundi maalum hususani wazee kupitia mipango yake mbalimbali kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya,pichani ni Mjumbe wa bodi,waganga wafawidhi wa mkoa na kambi ya wazee,watumishi wa mfuko wa kanda na makao makuu.
 Wazee ndiyo chimbuko letu..mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya NHIF pia ni Rais wa CWT bwn. Gratian Mukoba akitoa msaada wa mashuka kwa wazee waliopo kwenye kambi ya wazee ya kolandoto,ikiwa ni katika mwendelezo wa siku ya wadau wa NHIF mkoani Shiynyanga.
pokeeni msaada huu ili uwasaidie wahitaji hususani hakina mama wajawazito walale sehemu safi na watoto watakaojifungua.
hata wodini tunafanya kazi ....ni mjumbe wa bodi ya mfuko wa taifa wa bima ya afya Bwn Gratian Mukoba akimsikiliza sh mwalimu Devotha Msenyu aliyekuwa amelazwa kwenye hospitali ya mkoa wa shinyanga kwa matibabu wakati wa kutoa msaada wa mashuka kupitia siku ya wadau wa NHIF mkoani humo.

No comments:

Post a Comment