April 10, 2012

Uzinduzi wa Kamati ya Mfuko wa Uwezeshaji

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wajumbe wa kamati ya Rais ya Mfuko wa Uwezeshaji,wakati wa uzinduzi Kamati hiyo katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa kamati ya Rais ya Mfuko wa Uwezeshaji,baada ya kuizindua rasmi jana Ikulu Mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment