April 09, 2012

Maneno Osward amchapa Matumla katika Ngao ya Pasaka

 Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao wa kugombea ngao ya pasaka iliyotolewa na ukumbi wa Dar LIve Maneno alishinda kwa pointi
 Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke, Sedoyeka Thomas na Mratibu wa burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya pasaka. Bondia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla kwa pointi Dar es salaam jana
Bondia wakike Furaha Nganda kulia akimsukumizia masumbwi mfururuzo bondia Jamuhuri Saidi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar LIve DAr es salaam jana Nganda alishinda kwa point.
(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment