Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa mwigizaji mahiri nchini, marehemu Steven Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam, Aprili 9, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza jijini Dar es salaam Aprili 9, 2012 kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt.Rehema Nchimbi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 9,2012 kuhudhuria kikao cha Bunge kinachotarajiwa kuanza Aprili 10, 2012
No comments:
Post a Comment