Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akigana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu(UAE) Mhe.Mallallah Mubarak Alameri baada ya kufanya naye mazungumzo ikulu jijini
Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment