Waziri wawizara ya Maliasili na Utalii Mh. Ezekiel Maige akizungumza wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya Wakurugenzi ya Bodi ya Utaiii Tanzania TTB iliyozinduliwa jana kwenye makao makuu ya Wizara ya Maliasili Jengo la Mpingo lililopo Keko jijini Dar es salaam, katikati ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo Balozi Charles Sanga na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii TTB Dk. Aloyce Nzuki.
Mwenyeikiti wa Bodi ya Utalii ya TTB Balozi Charles Sanga akizungumza katika uzinduzi huo wanaofuatia katika picha ni Mkurugenzi wa TTB Dk. Aloyce Nzuki na wajumbe wa bodi Abdulkarim Shah, Kaika Telele na Isaya Jairo.
Mh. Waziri wa Maliasili Ezekiel Maige kushoto akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili Maimuna Tarishi wakati alipokuwa akimkaribisha ili aweze kuzungumza katika uzinduzi huo wa bodi kulia ni Bw. Ibarahim Mussa Mkurugenzi wa Idara ya Utalii.
Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali vya Wizara ya Maliasili wakiwa katika uzinduzi huo.
Meneja wa masoko wa bodi ya Utalii Geofrey Meena kulia akiwa na wakuu wengine wa vitengo katika bodi hiyo ya Utalii TTB.
Wakuu wa vitengo mbalimbali kutoka bodi ya Utalii TTB
Wajumbe wa bodi ya Utalii ya TTB wakiwa katika uzinduzi huo kutoka kushoto ni Bi. Teddy Mapunda, , na Isaya Jairo, Kaika Telele, Abdulkarim Shah na .Mkurugenzi wa TTB Dk. Aloyce Nzuki
Mjumbe wa bodi ya Utalii ya TTB Bi. Teddy Mapunda akijitambulisha kwenye uzinduzi huo wanaofuatia katika picha ni , Isaya Jairo, Kaika Telele, Abdulkarim Shah na .Mkurugenzi wa TTB Dk. Aloyce Nzuki
Baadhi ya maafisa wa Bodi ya Utalii wakifuatilia uzinduzi huo jana.
Picha ya Waziri Ezekiel Maige katikati pamoja na wakurugezni wa wakurugenzi wa wizara ya Maliasili, Bodi ya wwakurugenzi ya TTB na wakurugenzi pamoja na maafisa wa TTB.
Mh. Waziri Ezekiel Maige katikati akiwa katika picha ya pamoja na Makatibu wakuu wa Wizara pamoja na Bodi ya wakurugenzi ya Bodi ya Utalii Tanzania TTB
No comments:
Post a Comment