Nafasi Ya Matangazo

December 06, 2011

 Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), Neema Mbuja akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein wakati alipotembelea banda hilo la NDC kujionea shughuli mbal;imbali wanazofanya. NDC  nimiongoni mwa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara zinazoshiriki katika maonesho ya Mawizara kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika uliopatikana Desemba 9,1961.
Maonesho haya yanaendelea katika Viwanja vya Maonesho ya Mwalimu Julius Nyerere maarufu Saba Saba barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam na kiingilio ni bure.
Posted by MROKI On Tuesday, December 06, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo