December 06, 2011

Makamu wa Rais katika Mkutano wa Tabianchi Durban

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza kwenye mkutano wa majadiliano wa Viongozi wakuu wa Nchi wanachama 194 wa Itifaki wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi, juu ya kupunguza uzalishaji wa gesijoto Duniani kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 17 wa umoja wa mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi Duniani uliofanyika leo mjini Durban nchini Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment