KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 18, 2011
Washindi Redds Miss Temeke 2011 wajazwa mapesa
Afisa Mtendaji Mkuu wa Jambo Concepts, Juma Pinto akimkabidhi Sh milioni 1.5 mshindi wa pili wa shindano ka Redds Miss Temeke 2011, Cynthia Kimathi katika ofisi za gazeti la Jambo leo. gazeti la Jambo leo ilikuwa moja wa wadhamini wa shindano hilo lilofanyika mwishoni mwa wiki.Washindi watatu wa kwanza wa shindano la Redds Miss Temeke 2011 ambao wataiwakilisha kanda hiyo kwenye shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa wameshikilia vitita vya pesa baada ya kukabidhiwa jana. Kutoka kushoto mshindi wa tatu, Mwajabu Juma, mshindi wa pili Cynthia Kimasha na Redds Miss Temeke 211 Husna Twalib.Warembo Cynthia Kimasha(kushoto) na Husna Twalib wakisoma gazeti la Jambo Leo walipofika kwenye ofisi za gazeti hili, Dar es Salaam,leo.


No comments:
Post a Comment