July 17, 2011

Wasanii wafanya kweli Serengeti Fiesta Arusha

 Rachel kutoka THT akitumbuiza katika tamasha la Serengeti Fiesta mjini Arusha hii leo
 Mashabiki waliopenda kucheza walicheza
Hawa ni wakongwe wasiochuja Mandojo na Domokaya 
walipagawisha vilivyo.
 Msanii Bele 9 kutoka safu za milima ya Uluguru Mkoani Morogoro mji kasoro Bahari nae alipanda hivi punde na kutikisa.
 Msanii Nick II akiimba katika tamasha lka Fiesta Arusha
 Diamond "Rais wa Wasafi" na timu yake ikishambulia jukwaa kwa staili yake
 Diamond akiimba jukwaani muda si mrefu.
 Huyu ni Presenter lakini ameamua kuimba na kamuziki kidogo anaitwa Adam Mchomvu a.k.a Baba Johnii!! ndio kibao chake anachotamba nacho kwa sasa swaga yake ya Arusha.

No comments:

Post a Comment