KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 17, 2011
Mapacha wa tatu wa Blogs katia Serengeti Fiesta
Timu ya Blogers "Mapacha wa tatu" wa Fiesta Serengeti 2011kutoka kushoto Father Kidevu wa MROKIM BLOG, Ahmad Michuzi wa JIACHIE BLOG na John Bukuku wa FULLSHANGWE BLOG wakichapa kazi kati atamasha la fiesta mjini Arusha hivi leo.
No comments:
Post a Comment