July 16, 2011

Foleni Arusha

Hii ni foleni ya mjini arusha katika baranbara ya Nyerere. Foleni imeanza lkuota mizizi katika barabara kadhaa za mjini hapa jambo ambalo litaufanya mji huu kua mgumu kupitika iwapo mtu unaharaka.

No comments:

Post a Comment