Nafasi Ya Matangazo

July 16, 2011

 Wahariri wa vyombo mbalimbali vya Habari Tanzania waliokuwa wakihudhuria Mkutano Maalu (Retreat) Mjini Arusha leo wamemaliza Mkutano huo na kutunukiwa vyeti maalum ambapo pia maazimio mbalimbali yamefikiwa katika kuboresha sekta nzima ya habari nchini. Pichani ni Dina Chahali kutoka Channel Ten Dar es Salaam akipeana mkono na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda baada yaa Kupokea cheti chake kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL) Teddy Mapunda.
Erick Anthony kutoka HABARILEO Jumapili akipeana mkono na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda baada yaa Kupokea cheti chake kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Serengeti (SBL) Teddy Mapunda.
 Yese Kwayu wa Gazeti la Nipashe nae akipokea nondo yake
 Juma Mohamed wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar akipokea Cheti chake kutoka kwa Teddy Mapunda.
 Bakari Machumu nae alitwa kupokeaa cheti chake. Kushoto ni Theophil Makunga.
 Abdallah Idrisa Majura akipokea cheti chake.
 Salma Saidi nae toka Mwananchi Zanzibar anapokea cheti.
 Scholastica Mazula wa Times FM alipokea cheti.
 Yahya Charahani nae alishiriki.
Posted by MROKI On Saturday, July 16, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo